MKUTANO WA WAUGUZI TANGA USIPANGE KUKOSA
🎯Habari njema kwa Wauguzi wote wa Mkoa wa Tanga na viunga vyake! Viongozi wetu mahiri wa chama na kamati zake, wameandaa mazingira rafiki ya kufanyika Mkutano wa Wauguzi wote Mkoa wa Tanga kwa manufaa makubwa ya maendeleo ya chama! 🎯 Wanapenda kuwataarifu kuwa mkutano utafanyika tarehe 17 Februari 2023 na utafanyikia Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi Mkoani Tanga!! 🎯Aidha Mkutano utaambatana na mawasilisho ya mada mbalimbali kama zinavyooneshwa katika tangazo letu hapo juu, zinazolenga kuleta taswira ya maendeleo ya chama na Wauuguzi mmoja mmmoja! 🎯Kama Viongozi tunakuomba sana Muuguzi utakayepatataarifa hii mtaarifu na mwingine tusikose kwani hii ni fursa muhimu sana kwetu wanatanga na wengine wote wanaotaka kupata madini mbalimbali ya chama! 🎯Mkutano utakuwa huru kuhudhuriwa na wauguzi wote ambapo kiini haswa ni kushiriki umhimu wa usajili wa kila muuguzi katika mfumo!! Ahsante sana!
Leave a Comment