67.8666% Eliud Daniel First CHAS GOVERNER Give him a word



Asilimia 67.8666% Eliudi Daniel aibuka mshindi Wa ugavana CHAS.
Jumla ya kura zilizopigwa ni 1889 Sawa Na Asilimia 100% kura zilizoharibika ni 0 Sawa Na asilimia 0%
Eliud Daniel GAVANA mpya CHAS
Katika kampeni Za Uchaguzi 2020/2021 amepata kura 1282 Sawa Na 67.8666% akimshinda Bi. Shangwe kigoda aliyepata kura 607 Sawa Na 32.1334%
Pongezi Kwa ndugu Eliudi Daniel Gavana mpya Wa ndaki ya Tiba na sayansi shirikishi akiwa Na Mgombea mwenza Bi. Anneth Ladislaus Oisso



Makala ya mwandishi
Erick I T

20 comments:

  1. Namtakia kila la kheri katika kutimiza adhima yake kwa wana TIBA
    Amen!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hongera br Mungu akuongoze kutumika kwa wana tiba

      Delete
  2. Namtakia Kila la kheri katika kuwatumikia watu
    Awe mfano Bora na mwenye kutimiza ahadi🙏🙏

    ReplyDelete
  3. Kila kheri Bwana Eliud , Daniel gavana wetu mpya! Mwenyezi MUNGU,! Akuogoze, uweze kutuongoza vyema kuleta maendeleo ya wana Tiba! MUNGU , ibariki Tiba,

    ReplyDelete
  4. Kla la heri mhe.Eliud katika kujenga tiba ya kwel

    ReplyDelete
  5. Big up...
    Kick Up...

    ReplyDelete
  6. Dogooooo @Erick kaziii hiyoo 👍🏼👍🏼😂

    ReplyDelete
  7. To God be the glory,
    From my heart, i real i appreciate him!!
    God be with u bro!!

    ReplyDelete
  8. Hongera Sana tegemeo la wanatiba, 🤝

    ReplyDelete
  9. Kama nilivyotegemea, hongera sana bwana Gavana

    ReplyDelete
  10. Kama nilivyotegemea, hongera sana bwana Gavana

    ReplyDelete
  11. Congratulations to u Eliud✊
    Now it's a time to full fill what you have promised UDOM (CHAS) members

    ReplyDelete
  12. Alisitahiri ni kijana makini, hongera pia kwa mpinzani wake yeye ndo kamfanya awe hero!

    ReplyDelete
  13. Congrats Governor Eliud👏Mungu akuongoze katika kuijenga tiba.i believe you 🙂💪🏼

    ReplyDelete
  14. Jiandae kutumika CYO kuongoza

    ReplyDelete

Powered by Blogger.