Fahamu kuhusu coral snakes nyoka anayetoa Sauti sehemu ya haja

 


Leo tunakuletea simulizi ya nyoka wadogo hatari wenye rangi ya kutetemesha coral snakes. 

Ukiachana Na black Mamba ambaye Ndio nyoka mwenye sumu Kali zaidi duniani kuliko nyokaa woote bas wapili ni coral snake. Coral snakes wanasumu kaalii Ila si hatari Kama rattles Kwa sababu coral snakes wanamfumo duni Wa utowaji Wa sumu yao. 

Mwanasayansi Na mtaalamu Wa Mifugo Sara Viernum aliwagawa nyoka hawa Katika makundi mawili coral snakes wa ulimwengu Wa kale na wale Wa ulimwengu mpya.. Yaani new world coral snakes. Inasemekana kuwa new word coral snakes waliopo Kaskazini mwa bara La America Katika Mohavi desert wanakuwa na sumu Kali za Neva Yaani Neurotoxins.. 


Coral snakes Kwa Kiswahili tunawaita nyoka matumbawe ni wembamba wadogo Kati ya inch 18 Na 20 Yaani sentimita 45 hadi 50 hii inamaana kuwa ni wadogo zaidi ukiunganisha rula mbili Ulizo kuwa unatumia darasa La kwanza nyoka hawa ni wembamba Kama penseli wanavichwa vingi visivyo Na shingo Na mikia inayofanana Hivyo kuwa na ugumu Wa kutambua Kichwa kutoka mkiani


Sara Viernum alieleza kuwa nyoka hawa wanatabia ya kuficha Kichwa Katika miili yao wakijiviringisha Na Kuacha mkia uliofanana Na Kichwa wakiamini kuwa ni bora kupoteza walau mkia wako kuliko Kichwa chako hata wew ndugu msikilizaji unapata chakujifunza hapa

Kwa sababu ya sifa hatari Za coral snakes bas nyoka wengine Kama scarlet king snakes hupenda kujificha Kama coral snakes Kwa kuficha Kichwa Na Kuacha mkia Juu. 


Jambo ambalo huwezi kuamini Katika coral snakes ni Kwamba hutoa Sauti kupitia sehemu zao Za haja. Kumekuwa Na mjadala mkubwa baina ya wanasayansi Juu ya Sauti hii kila mtu Akija Na jambo lake. Mwanasayansi Joseph F. Gemano Jr alisema kuwa ni njia ya kujihami inayotokana na nyoka huyo kukasirishwa, wengine wakasema ni Sauti ya Kumuita Mwenzake wakati wakujaamiani Kwan wew hujui hata nyoka anafanya mapenzi.. Majibu unayo lakini Mpaka Leo wanasayansi hawajapata Jibu La Sauti Hiyo. Hivyo sisi waandishi wako tunasafari ya kwenda Mohavi desert mwakani Kwaajili ya uchunguzi hivyo historia ijayo tutakuja na Majibu. 




Mwandishi wa simulizi ya leo ni Erick Tarimo instagram at @ Rocky Zegler


No comments

Powered by Blogger.