“Nitahakikisha watu wote wanapata bima Kwa Muda muafaka “ Mgombea Wa kiti cha ugavana ndaki ya Tiba na sayansi shirikishi.

Mgombea Wa kiti cha ugavana bwana Eliudi Daniel akiwa Na Mgombea mwenza Bi. Aneth ladislausi Oisso wamwaga sera zao ikiwa ni pamoja Na;
Kuboresha sekta ya michezo Na burudani
Uhakika Wa upatikanaji wa maji
Uwasilishwaji Wa haraka wa bima Za afya
Kwingineko Katika burudani amesema kutakuwa Na disco Mwisho Wa semester 😀😀😁😁 Na kusihi watu wote wa Tiba kumpa dhamana ya kuwa gavana


Imeandaliwa Na mwandishi wako
Erick IT Leo tarehe 30 June 2020.

8 comments:

Powered by Blogger.