Raisi aliyemaliza Muda wake wa Burundi Honorable Pierre Nkurunziza aaga dunia
Pierre Nkurunziza
Pierre Nkurunziza (* 18 Desemba 1963) ni mwanasiasa kutoka nchini Burundi, rais wa taifa hilo tangu mwaka 2005.
Alikuwa mwenyekiti wa chama cha Baraza la Kitaifa la kutetea demokrasia, Burundi (CNDD-FDD) hadi kuchaguliwa kuwa rais.
Tarehe 13 Mei 2015 kundi la wanajeshi wa nchi walitangaza kupinduliwa kwake,[1] lakini saa chache baadaye wakakamatwa.
Shambulio La moyo
Leave a Comment