Thobias Mgendi ashinda ugavana school of nursing kwa kupata kura 424 sawa na asilimia 67.14% akimbwaga manyanga mpinzani wake ndugu Pascal lutambi aliyepata kura 227 sawa na asilimia 32.94% Hongera Gavana 🎆🎆🎆🎆🎆
Leave a Comment