Mgombea ugavana SON atoa ahadi ya kuwataftia masponsa😀

 


Mgombea wa ugavana ndugu Pascal lutambi school of nursing atoa ahadi ya kuwataftia masponsa Wale wasio na uwezo wakulipa ada

Baadhi ya agenda nyingne ni

Maboresho ya bima za afya

Kuongeza michezo ya ushindan

Punguzo la bei ya misosi😀


Itofficial 

No comments

Powered by Blogger.