UJUE MTI WA QUININE (MSESEVE) RAUVOLFA CAFFRA

Antimalaria,anticonvulsant drug WHO
Venecular languages (Majina Kwa lugha Za Asili)
-Msesewe(chagaa)
-Mwembemwitu or Mkufi (Swahili)
-Olchapukalya or Oljabokaryun (Masai)

Mgunduzi(founder)
Leonhurt Rauwolf of (Augsburg) 16th C ambaye alikuwa Doctor

Ecology (Ikolojia)
Sweet of flowers attract insect for pollination
-utamu Wa maua unavutia wadudu


Location (maeneo ya upatikanaji)
Southern Africa tropical areas Kenya Tanzania Uganda Congo
-Kusini mwa Africa maeneo ya tropiko Tanzania Kenya Uganda Congo

Cure (Tiba)
Malaria, Homa, uvimbe, homa za inni,maumivu ,limonia
Fever, swelling, hepatitis, pain, pneumonia

Uses (matumizi mengne)
Commercial wood (mbao)
Fruits and leaves food for monkey (Chakula cha nyani)
Barks treat cough (magamba ya mti ni dawa ya kikohozi)
Latex treat diarhoea and stomach(utomvu wake unatibu mharisho na tumbo)
Shelter for coffee (kivuli cha kahawa)
Used to make chagaa alcohol (inaongeza ulevi kwenye mbege)
Maelezo zaidi google RAUVOLFA Caffra

Makala ya Erick T
One Heda

2 comments:

Powered by Blogger.