HESLB BREAKING NEWZ


HESLB: HATUJAPUNGUZA MIKOPO. TUNATOA FEDHA ZA KUJIKIMU KULINGANA NA SIKU ZA MASOMO

- Bodi ya Mikopo (HESLB) imefafanua kuwa kutokana na #COVID19 siku za masomo za robo mwaka ya 4 ya muhula wa masomo wa 2019/20 ambazo huwa ni 60 zimepungua kwa baadhi ya Vyuo

- Imesema kuwa huwa inatoa fedha za kujikimu kwa Wanafunzi kulingana na siku za masomo

Chanzo
EATV
Jamii forums
Makala ya mwandishi
ERICK T

2 comments:

Powered by Blogger.