Marcus Rashford atunukiwa degree ya heshima

Chuo kikuu cha Manchester kumtunuku degree ya heshima mchezaji Marcus Rashford wa Manchester utd baada ya kampeni yake ya watoto masikini kufanikiwa baada ya kupelekwa bungeni na kupitishwa huko Uingereza.

1 comment:

Powered by Blogger.