Gavana mpya Dr. Eliudi Daniel awaongoza maelfu JK conversion center


Gavana Mpya amewaongoza wabunge wapya pamoja Na wawakilishi baadhi Katika mkutano mkubwa Wa CCM uliofanyika JK conversion center .
Mkutano Huo uliongozwa Na kiongozi Wa CCM Humphrey Polepole.
 Mheshimiwa Gavana Eliudi Daniel na Bi. Anneth Ladislaus Oisso wametoa Shukran zao Za dhati Kwa waliomsindikiza.
Pichani ni mwandishi wako akiwa Na Gavana



Makala ya mwandishi
Erick I T

5 comments:

Powered by Blogger.