Mkutano mkubwa wa Gavana wa CHAS na wenye changamoto ya malipo ya Ada



Ofisi ya Gavana ndaki ya Tiba inawatangazia wanafunzi wote wenye changamoto ya ulipaji malipo ya Ada kuandika Majina yao Kwa viongozi wa madarasa Kuanzia tarehe 17 July, 2020 Mwisho wa uwandikishaji ni tarehe 20 July, 2020 ambapo ma Cr’s wote wanatakiwa kuwasilisha Majina Kwa Katibu mtendaji Wa serekali Tiba Mheshimiwa Noah Mwandete

Gavana Dr. Eliud Daniel atakutana na wanafunzi hao kujadili jinsi ya kulitaftia ufafanuzi changamoto yao siku ya Jumanne tarehe 21 July, 2020 Venue tutawatangazia… Usikose Kama wew ni mmoja Wao
....UDOM mpya CHAS mpya
....Look at this day CHAS


Makala ya waandishi
Erick & Alvin production

No comments

Powered by Blogger.