Mhitimu Wa kidato cha nne 2015 Wa nduweni sekondari atia nia ya udiwani


CCM  high
Vijana high
Tarakea high

Leo tarehe 14/07/2020

Mimi ANTON FOKASI SILAYO
Nimeamua  kwa dhati kabisa kuchukua
Fomu Kama mgombea wa UDIWANI
Katika kata ya Tarakea motamburu
ilikuwatumikia wanatarakea kwa ujumla wake

Ee mungu naomba unisaidie

CCM high
Vijana  high
Tarakea high

No comments

Powered by Blogger.