News And Other Stuff.

APIGWA CHINI KUWAWAKILISHA VIJANA MKOA WA KAGERA KURA ZA MAONI

Mbunge wa Viti maalumu aliyemaliza muda wake akiwakilisha Vijana Mkoa wa Kagera, Halima Bulembo ameongoza tena katika Uchaguzi wa kura za maoni zilizopigwa leo kwa kupata kura 35 akifuatiwa na Johanfaith Kataraia mwenye kura 9, watatu ni Koku Rutta kura 2.
#Erickfastnews
Powered by Blogger.