MHESHIWA GAVANA AKIAPISHWA OFISI YA VICE CHANCELLOR

Mheshimiwa Gavana wa CHAS Dr. Eliud Daniel  akila kiapo cha utii, jana Katika uwapisho Wa Viongoz wapya. Hafla Hiyo ilifanyika
Utawala wa Mkuu ofisi Za vice chancellor  nakuhudhuriwa Na viongozi wakubwa Wa Chuo akiwemo vice chancellor  pamoja Na Rais Wa Federation


Makala ya mwandishi
Erick T.
IT CHAS

No comments

Powered by Blogger.