GAVANA Dr ELIUDI DANIEL ALIHUTUBIA BUNGE LA KWANZA LA UDOSO CHAS


Mheshimiwa spika ndugu Uswege Mwantelege amefungua shughuli rasmi Za kibunge, bunge La mwaka 2020/2021 UDOSO CHAS Kwa kuwaapisha wabunge wapya Na block leaders kufuatiwa Na uteuzi Wa Katibu Mkuu wa serekali ya wanafunzi ambaye mda mfupi Baadae aliteuwa baraza La makatibu Na  manaibu Watakao hudumu Katika Wizara nane.


Pia Katika hafla Hiyo Mheshimiwa Gavana Dr. Eliudi Daniel na Mheshimiwa naibu Gavana Bi. Anneth Ladislaus Oisso waliweza kuhudhuria hafla Hiyo ambapo Dr. Eliudi Daniel aliweza kutoa hotuba fupi ya kuwasihi Viongoz wapya kufanya Kazi Za kutimiza ilani yao ya uchaguzi Mfano maswala ya bima, michezo na afya  Kwa kuwapa majukumu ya kuanza Kazi Mara moja
Pichani ni Mheshimiwa spika ndugu Uswege Mwantelege Katika viwanja vya bunge LR1



Makala ya mwandishi
Erick I T
##CHAS

4 comments:

  1. Oyaaaa 🔥🔥🔥

    ReplyDelete
  2. Bunge likawe msaada kwasisi wanaTiba tumewaamin msituangushe!
    Amen

    ReplyDelete
  3. Hapa kaz tu mwaka wa mabiliko udom tiba

    ReplyDelete

Powered by Blogger.