SAMSON AND RUTAKOBA NEW BSCN CR's WAPE PONGEZI

"Kipindi hakuna"" kauli ya kwanza ya cr
Mshindi Wa kiti cha uCR ndugu Samson ameweza kutwaa nafasi Hiyo baada ya kupata kura 105 Sawa Na asilimia 58.988% akiwashinda Victor,  Maneno,  Silvester, David na linus
Kwingineko Cr wa kike Bi. Jenifa amepata kura 99 Sawa Na asilimia 72.26%




Taarifa ya mwandishi
Erick I T

2 comments:

Powered by Blogger.